Uroa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Uroa
Remove ads

Uroa ni kata ya Wilaya ya Kati katika Mkoa wa Unguja Kusini, Tanzania.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Pwani ya Uroa.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 3,768 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 2,107 waishio humo. [2]

Remove ads

Historia

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads