Usasa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Usasa (kwa Kiingereza: Modernism) ulikuwa mfumo uliotokea hasa mwishoni mwa karne ya 19 hadi mwanzoni mwa karne ya 20 ukihusu fasihi, muziki na sanaa nyingine, siasa, falsafa na dini, ukidai kuitikia mabadiliko makubwa ya Ustaarabu wa magharibi.

Katika Kanisa Katoliki Usasa ulipendekeza mabadiliko hata katika mafundisho ya mapokeo ili kuyalinganisha na utamaduni na elimu mpya [1], lakini ulikomeshwa na Papa Pius X aliyeulaani kama usanisi wa kila uzushi katika hati Pascendi Dominici gregis ya mwaka 1907 [2].

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads