Usimoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Usimoni ni dhambi ya kuuza au kununua vitu vitakatifu au nafasi ya uongozi katika Kanisa kama alivyotaka kufanya Simoni Mchawi kadiri ya Matendo ya Mitume (8:9-24).

Dhambi hiyo imelaumiwa kuanzia karne ya 5 lakini ilizidi kutokea katika karne ya 9 na ya 10[1].
Hadi leo Sheria za Kanisa zinakabili tatizo hilo kwa kubatilisha uteuzi na kuadhibu wahusika[2].
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads