Uzi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Uzi

Uzi ni ugwe mwembamba ambao unatokana na pamba, mkonge, sufi, hariri n.k. na unatumika hasa kushonea na kwa ufumaji wa vitambaa.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uzi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Nyuzi za rangi mbalimbali.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.