Venansi, Anastasi na wenzao

From Wikipedia, the free encyclopedia

Venansi, Anastasi na wenzao
Remove ads

Venansi, Anastasi na wenzao Mauro, Pauliniani, Telio, Asteri, Septimi, Antiokiani na Gaiani (walifariki katika eneo ambalo leo liko nchini Kroasya, 257 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa katika dhuluma ya Dola la Roma kwa sababu ya imani yao. Venansi alikuwa askofu wa Salona[1].

Thumb
Altare ya Mt. Venansi karibu na Batizio la Kanisa kuu la Roma.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 1 Aprili[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads