Veneri mkaapweke
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Veneri (Palmaria, Liguria, leo nchini Italia, 560 hivi - Isola del Tino, 630) alikuwa mmonaki padri, halafu mkaapweke karibu na La Spezia, na ndipo alipofariki, baada ya kuleta Waario wengi katika Kanisa Katoliki[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Septemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads