Vigo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vigo ni mji wa Hispania, katika mkoa wa Pontevedra.
Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 295,364 [1] na kuufanya wa kumi na nne nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads