Vincent Schiavelli

From Wikipedia, the free encyclopedia

Vincent Schiavelli
Remove ads

Vincent Andrew Schiavelli (11 Novemba 194826 Desemba 2005) alikuwa mwigizaji wa kwenye makumbi, filamu, na televisheni kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama mzuka wa reli za andaki kutoka katika filamu ya Ghost. Mara nyingi huelezwa kama 'mtu mwenye macho ya uzuni'.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Schiavelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads