11 Novemba
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 11 Novemba ni siku ya 315 ya mwaka (ya 316 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 50.
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1821 - Fyodor Dostoyevski, mwandishi Mrusi
- 1864 - Alfred Fried, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1911
- 1911 - Antonio Casas, mwigizaji wa filamu kutoka Hispania
- 1925 - Jonathan Winters, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1948 - Vincent Schiavelli, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 1973 - Artturi Ilmari Virtanen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Martino wa Tours, Mena wa Misri, Verano wa Vence, Mena wa Molise, Yohane Mwenyehuruma, Bertuini, Theodoro wa Studion, Bartolomeo Kijana, Marina wa Omura n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads