Vinsenti Romano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vinsenti Romano (Torre del Greco, Campania, Italia, 3 Juni 1751 – Torre del Greco, 20 Desemba 1831) alikuwa padri mwanajimbo wa Kanisa Katoliki aliyefanya uchungaji kama paroko, akiwajibika sana katika malezi ya watoto na huduma kwa wafanyakazi na wavuvi[1].

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 17 Novemba 1963, halafu tarehe 14 Oktoba 2018 Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu .
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
