Visia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Visia (alifariki Fermo, Marche, Italia, 250 hivi) alikuwa bikira aliyekatwa kichwa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius dhidi ya Wakristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 12 Aprili[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads