Visini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Visini (kwa Kilatini: Vicinius; karne ya 3 - 330) alikuwa askofu wa kwanza wa Sarsina, Italia [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads