Cayman
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Visiwa vya Cayman ni funguvisiwa la Karibi na eneo la ng'ambo la Uingereza katika Bahari ya Karibi upande wa kusini wa Kuba na upande wa magharibi wa Jamaika.

Eneo lake ni visiwa vitatu vya Grand Cayman, Little Cayman na Cayman Brac, jumla km² 260.
Mji mkuu ni George Town kwenye kisiwa cha Grand Cayman.
Remove ads
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cayman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads