Vistula (mto)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Vistula (mto)
Remove ads

Vistula (Kipoland: Wisła tamka: viswa) ni mto mkubwa nchini Polandi mwenye urefu wa 1047 km.

Ukweli wa haraka

Chanzo chake ni katika milima ya Beskidi inaishia katika Bahari Baltiki. Inapita kwenye miji mikubwa ya Krakov na Warshawa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vistula (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads