Vita ya wenyewe kwa wenyewe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Vita ya wenyewe kwa wenyewe
Remove ads

Vita vya wenyewe kwa wenyewe ni vita vinayopigwa ndani ya nchi kati ya vikundi vya taifa moja, tofauti na vita vya kimataifa.

Thumb
Mapigano ya Franklin wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani.

Kuna aina nyingi jinsi vita vya wenyewe kwa wenyewe zinavyoweza kutokea:

  • kati ya serikali na wapinzani wake wakiamua kutumia silaha
  • kati ya vikundi visivyo vya serikali
  • kama watu wa sehemu ya nchi wanataka kujitenga na taifa dhidi ya mapenzi ya serikali.

Vita vya aina hiyo huwa na ukali, vifo na uharibifu mwingi. Mara nyingi kanuni za vita haziangaliwi na raia wa kawaida huteseka.

Mifano ya nchi zenye vita za wenyewe kwa wenyewe ni:

Remove ads

Viungo ya nje

Ukweli wa haraka
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads