Vitoria-Gasteiz

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Vitoria-Gasteiz ni mji wa Hispania, mji mkuu na mkubwa wa Álava na wa Euskadi nzima.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 251,74 [1] na kuufanya wa kumi na saba nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads