Vuga (Filamu)
Filamu ya Nigeria mwaka 2000 From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vuga ni filamu ya Nigeria iliyotengenezwa mwaka 2000 na kuongozwa na Simi Opeodu.
Ni filamu inayomuelezea mwanamume mmoja mwenye nguvu anayeamua kutumia nguvu zake kuwasaidia watu wa kijiji chake dhidi ya watu wabaya.[1] August mwaka wa 2018, waigizaji wakuu katika filamu hii walihesabika kama waigizaji bora zaidi wa filamu za Nigeria [2]
Wahusika
- Gentle Jack
- Chiwetalu Agu
- Segun Arinze
- Regina Askia
- Larry Koldsweat
- Ramsey Nouah
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads