Vunja Mifupa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Vunja Mifupa
Remove ads

"Vunja Mifupa" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1997 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye badaye kaja kuweka makazi yake nchini Kenya, Samba Mapangala. NyimboAlbamu ina nyimbo nane. Albamu ilitolewa katika muundo wa CD. Wimbo uliobeba jina la albamu ulitoka kabla ya 1997. Hili ni toleo la pili la Vunja Mifupa lililotolewa katika CD badala ya lile la kwanza la 1989 ambalo lilitolewa katika muundo wa "kanda". Nyimbo maarufu hasa Marina na Vunja Mifupa.

Ukweli wa haraka Studio album ya Sam Mangwana, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.

  1. Vunja Mifupa
  2. Alimasi
  3. Virunga
  4. Mashariki
  5. Violeta
  6. Marina
  7. Confusion
  8. Wabingwa

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads