Wafiadini wa Mesopotamia waliochomwa moto

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wafiadini wa Mesopotamia waliochomwa moto (walifia dini katika Mesopotamia, 303 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliuawa namna hiyo, kichwa chini miguu juu, wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads