Wafiadini wa Numidia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wafiadini wa Numidia (waliuawa mwanzoni mwa karne ya 4) ni jina la jumla kwa Wakristo wengi wa eneo la Algeria ya leo ambao waliteswa kikatili na hatimaye kufia imani yao kwa kuwa walikataa kutoa vitabu vitakatifu kwa serikali ya Dola la Roma kama walivyoagizwa na kaisari Diokletian [1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads