Wahasidimu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wahasidimu
Remove ads

Wahasidimu ni kundi la Wayahudi (kwa Kiebrania חסידות, hasidut, kutoka neno lenye maana ya "ibada").

Thumb
Adhimisho la Tish huko Yerusalemu, sikukuu ya Sukkot, 2009.

Asili yake ni mwamko wa kiroho katika karne ya 18 ambao kutoka Ukraine magharibi ulienea haraka Ulaya Mashariki kote.

Israel Ben Eliezer, "Baal Shem Tov", anahesabiwa kuwa mwanzilishi wake.

Leo wafuasi wake ni 400,000 hivi, na wengi wao wako Marekani, Israeli na Ufalme wa Muungano.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads