Wakaodai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wakaoda ni wafuasi wa dini ya Vietnam inayomuamini Mungu mmoja. Jina lake rasmi ni Đại Đạo Tam Kỳ Phổ Độ (Imani Kuu [kwa] Ukombozi wa Tatu wa Ulimwengu)
Ilianzishwa katika mji wa Tay Ninh mwaka 1926 kwa kuchanganya imani mbalimbali.
Wafuasi wanakadiriwa kuwa milioni 4-6.
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads