Wamaroni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wamaroni ni sehemu kubwa mojawapo ya watu wa Lebanoni, lakini siku hizi wengi zaidi wanaishi nje ya nchi hiyo asili.

Kinachowatambulisha zaidi, pamoja na historia yao, ni imani ya Kikristo katika Kanisa la Wamaroni, ambalo lina ushirika kamili na Papa wa Roma na Kanisa Katoliki lote duniani, ingawa linafuata mapokeo ya Antiokia.
Wanakadiriwa kuwa 3,500,000[1].
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads