Wanyasa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wanyasa ni kabila la watu wanaoishi hasa upande wa kaskazini mashariki wa ziwa Nyasa, kati ya nchi za Malawi, Tanzania na Msumbiji[1]. Pengine wanaitwa pia Wamanda[1].

Mwaka 2010 walikadiriwa kuwa 500,000[2].

Ngoma za Kinyasa huwa ni mganda na kioda na ngoma hizo huweza kuchezwa na jinsia zote sio kwa aina fulani tu huweza kuburudisha na kusawili mambo mbalimbali yanayofanywa na jamii hizo kwa kutumia nyimbo na midundo ya ngoma hizo zinazotendwa mbele ya umati wa watazamaji.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads