Warendille

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Warendille (pia: Wareendile, Warendili, Warandali, Warandile au Warandille) ni kabila la watu wa jamii ya Wakushi wanaoishi nchini Kenya katika jangwa la Kaisut na karibu na mlima Marsabit (kaunti ya Marsabit).

Idadi yao ilikuwa 94,700 mwaka 2006.

Lugha yao ni Kirendille, mojawapo kati ya lugha za Kikushi, jirani na Kisomali.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads