Lugha za Kikushi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lugha za Kikushi
Remove ads

Lugha za Kikushi ni kati ya lugha za Kiafrika-Kiasia. Zinatumika hasa katika Pembe la Afrika na nchi za jirani, kuanzia Misri na Sudan hadi Kenya na Tanzania, lakini zamani zilitumika katika maeneo makubwa kuliko leo.

Thumb
Uenezi wa lugha za Kikushi leo (katika rangi ya kahawia iliyokolea).
Thumb
Lugha za Kiafrika-Kiasia mnamo 500 KK[1]

Jina linatokana na Kush, mtu wa Biblia anayetajwa kama babu wa makabila ya aina hiyo.

Leo lugha kubwa zaidi katika kundi hilo ni Kioromo (35,000,000), kikifuatwa na Kisomali (18,000,000). Baadhi yake zimeshakufa.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads