Warufiji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Warufiji ni kabila la watu kutoka eneo la pwani ya Tanzania, karibu na Mto Rufiji. Mwaka 1987 idadi ya Warufiji ilikadiriwa kuwa 200,000 [1].

Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads