Wasalesiani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wasalesiani wa Don Bosko (jina rasmi: Society of St. Francis de Sales) ni shirika la watawa wanaume lililoanzishwa na John Bosco ndani ya Kanisa Katoliki la Kilatini katika karne ya 19 kwa lengo la kulea vijana fukara [1].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads