Wilaya ya Bahi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Bahi ni moja kati ya wilaya nane za Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 413[1].
Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Bahi mjini.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Bahi ilihesabiwa kuwa 221,645 [2] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 322,526 [3].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads