Wilaya ya Longido
wilaya katika Mkoa wa Arusha, Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Longido ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23500.

Wilaya hii ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na sehemu za wilaya ya Monduli. Wakati wa sensa ya mwaka 2012 wilaya ilikuwa na wakazi 123,153. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 175,915 [1].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads