Wilaya ya Ulanga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Ulanga (madini)

Wilaya ya Ulanga ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 676.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 194,209 walioongezeka kuwa 265,203 wakati wa sensa ya mwaka 2012.[1] Katika ile ya mwaka 2022, baada ya wilaya kumegwa, walihesabiwa 232,895 [2].
Makao makuu ya wilaya yapo Mahenge Mjini.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads