Yohakimu He Kaizhi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Yohakimu He Kaizhi
Remove ads

Yohakimu He Kaizhi (Zhazuo, 1782 hivi - Guiyang 9 Julai 1839) alikuwa katekista wa China aliyenyongwa hadi kufa kwa ajili ya imani ya Ukristo[1].

Thumb
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads