Yohane Mbatizaji Scalabrini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yohane Mbatizaji Scalabrini (Fino Mornasco, Como, 8 Julai 1839 – Piacenza, 1 Juni 1905) alikuwa askofu mmojawapo wa Kanisa Katoliki huko Italia Kaskazini na mwanzilishi wa mashirika ya Wamisionari wa Mt. Karolo na Masista Wamisionari wa Mt. Karolo kwa ajili ya wahamiaji nchini Marekani[1].

Alistawisha jimbo la Piacenza kwa kila namna, aking'aa kwa juhudi zake kwa ajili ya mapadri, wakulima na wafanyakazi wenye kipato cha chini[2][3].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 9 Novemba 1997 na Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 9 Oktoba 2022.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads