Yohane Righi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yohane Batista Righi wa Fabriano (Fabriano (Ancona), 1469 circa – Cupramontana (Ancona), 1539) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo na padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Anaheshimiwa kama mwenye heri hasa tarehe 11 Machi.
Maisha
Kisha kuzaliwa Fabriano katika familia ya kisharifu, Yohane alifuata Ukristo tangu utotoni.
Kisha kuahidi kufuata kanuni iliyoandikwa na Fransisko wa Asizi, aliishi katika konventi ya Forano.
Halafu akawa mkaapweke katika pango «La Romita», karibu na Massaccio.
Viungo vya nje
- Yohane Righi katika Patron Saints Index Ilihifadhiwa 4 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine.
- 11 March saints Ilihifadhiwa 11 Februari 2008 kwenye Wayback Machine. at St. Patrick's Church
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads