Yosefu wa Kopertino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yosefu wa Kopertino (Copertino, Puglia, 17 Juni 1603 – Osimo, Marche, 18 Septemba 1663) alikuwa padri wa utawa wa Ndugu Wadogo Wakonventuali.


Mtu wa sala hasa, alijaliwa karama za pekee, hasa ile ya kuelea hewani kwa muda mrefu wakati wa kutoka nje ya nafsi. Jambo hilo lilimsababishia matatizo mengi aliyoyavumilia vizuri, akizidi kung'aa kwa unyenyekevu, ufukara na upendo kwa waliomtamani Mungu[1].
Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri tarehe 24 Februari 1753, halafu Papa Klement XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Julai 1767.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads