Zainab Athman Katimba
Mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zainab Athman Katimba (amezaliwa 4 Aprili 1990) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads