Zamadamu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zamadamu walikuwa wanyama wenye umbile lililokaribiana na mwili wa binadamu kuliko hata sokwe.
Binadamu wanadhaniwa kuwa walitokana na hao wa kwanza miaka laki kadhaa iliyopita, labda kwa kupitia spishi nyingine za jenasi "homo".
Kwa sasa hakuna tena zamadamu hai duniani, ila mabaki ya mizoga yao yanazidi kupatikana hasa barani Afrika.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads