Zdislava
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zdislava Berka (pia: Zdislava wa Lemberk; 1220 hivi - 1252) alikuwa mke wa mtawala wa Lemberk (Ucheki).

Mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Dominiko, alikuwa maarufu kwa moyo wake wa ibada na wa huruma kwa wahitaji.
Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 21 Mei 1995.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads