Zeno wa Nikomedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zeno wa Nikomedia (alifariki Nikomedia, leo Izmit, nchini Uturuki, 362 hivi) alikuwa Mkristo wa Dola la Roma aliyefia imani yake wakati wa kaisari Juliani Mwasi[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini, pengine pamoja na wanae Konkordi na Teodori.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Septemba.[2]
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads