Zola D

Mwanamuziki wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Zola D
Remove ads

Zola D au David Michael Mlope (amezaliwa 21 Januari 1980) ni mwimbaji wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Remove ads

Huenda akawa anafahamika zaidi kwa vibao vyake kadhaa vilivyoweza kutikisa jiji la Dar es Salaam kwa kipindi kirefu; vibao hivyo ni "Jana sio Leo" na "Moto wa Tippa" kwa sasa natamba na nyimbo alioimba ma "Latinho" hiitwayo I Dont Care.

Zola D alichangia sana mafanikio ya TMK Wanaume Family kwa nyimbo zilizovuma, hasa zile zilizokuwa na ujumbe wa kijamii, kisiasa, na maisha ya kila siku. Anahesabiwa kuwa miongoni mwa wasanii wa kizazi cha pili cha Hip Hop ya Tanzania waliotoa mchango mkubwa katika kukuza muziki wa Bongo Flava na Hip Hop ndani na nje ya nchi.

Remove ads

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zola D kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads