Angela Merichi
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Angela Merichi (21 Machi 1474 – 27 Januari 1540) alikuwa mtawa nchini Italia.
Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 27 Januari[1].
Angela Merichi alizaliwa eneo liitwalo Desenzano, karibu na mji wa Brescia nchini Italia, tarehe 21 Machi, mwaka 1474.
Alifuata kanuni za Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko, akawakusanya pamoja wasichana, ambao aliwafundisha kutenda matendo ya huruma.
Mwaka 1535, huko Bresha, alianzisha shirika la Waursula, chama cha wanawake waliojishughulisha kuwafundisha wasichana maskini jinsi ya kuwa Wakristo wema.
Alifariki mwaka 1540.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.