From Wikipedia, the free encyclopedia
Bryan "Baby" Williams (amezaliwa tar. 15 Februari 1969) ni rapa, mtayarishaji na mc kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la "Baby".
Birdman | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Birdman - Baby |
Nchi | Marekani |
Alizaliwa | 15 Februari 1969 |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mwanamuziki Mtayarishaji Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1992 - hadi leo |
Kampuni | Cash Money Records |
Mnamo mwaka 1991, Baby na kaka yake mkubwa - Ronald "Slim" Williams walianzisha studio ya muziki wa hip-hop maarufu kama Cash Money Records. Hapo awali alikuwa akitumuia jina la B-32 (Baby With The 32 Golds) na akatumia jina hilohilo kwa kutoa albamu yake ya kwanza ilioyokwendakwa jina la I Need a Bag of Dope kunako mwaka wa 1993.
Miaka ya usoni, akiwa bado anatumia jina la "Baby", Williams alirekodi albamu kadhaa akiwa na mtayrishaji wa muziki huo Bw. Mannie Fresh kama kundi la Big Tymers na kufanya kazi kama studio yake binafsi na kazi alkadharika.
Kunako tarehe 11 Desemba ya mwaka wa 2007, Williams ametoa albamu yake iitwayo 5 Star Stunna.
Mnamo mwezi wa Novemba 2007, Williams alitiwa mbaroni kwa kosa la kukutanika na fulushi la bangi. Aliachia huru kwa faini ya Dola za Kimarekani zipatazo 1,500.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.