From Wikipedia, the free encyclopedia
Bolzano (kwa Kijerumani: Bozen) ni makao makuu wa wilaya ya kujitegemea katika mkoa wa Trentino-Alto Adige ambao ni wa kaskazini kuliko yote ya Italia.
Mji una wakazi 106,441 (2016) na hivyo ni wa 42 nchini Italia.
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bolzano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.