From Wikipedia, the free encyclopedia
Januari mfiadini (Benevento au Napoli, mkoa wa Campania, leo nchini Italia, 272 - Pozzuoli, Campania, 19 Septemba 302) alikuwa askofu wa Benevento aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Septemba[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.