From Wikipedia, the free encyclopedia
Jiwe (wingi: mawe) ni kitu chochote kigumu kitokanacho ardhini, kama vipande vidogovidogo ambavyo vinatokana na kuvunjika au kumeguka kwa miamba. Huundwa na madini mbalimbali yanapochanganyika kwa mvua na joto kali hukausha maji au hata pia mkandamizo.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jiwe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.