Mkoa wa Siirt
From Wikipedia, the free encyclopedia
Siirt (Kikurdi: Sêrt, Kiarabu: سعرد) ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya mashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki. Upo mjini kusini-mashariki mwa nchi. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Bitlis kwa upande wa kaskazini, Batman kwa upande wa magharibi, Mardin kwa upande wa kusini-magharibi, Şırnak kwa upande wa kusini, na Van kwa upande wa mashariki mwa nchi. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,406 na jumla ya wakazi 266,159.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Siirt nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Siirt | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Siirt nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 5,406 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 266,159 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 56 |
Kodi ya eneo: | 0486 |
Tovuti ya Gavana | http://www.siirt.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/siirt |
Funga