Roger Schutz
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bruda Roger Schutz (jina kamili lilikuwa Roger Louis Schütz-Marsauche), aliyezaliwa huko Provence (Uswisi) tarehe 12 Mei 1915 na kuuawa na kichaa huko Taizé (Ufaransa) tarehe 16 Agosti 2005, alikuwa mchungaji aliyejifanya mmonaki na kuanzisha jumuia ya kitawa ya kiekumeni huko Taize ambayo aliiongoza hadi kifo chake.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.