From Wikipedia, the free encyclopedia
Sabina wa Roma (alifariki Roma, 126 hivi) alikuwa mwanamke wa ukoo bora wa Roma ya Kale aliyeolewa bado kijana sana na seneta Valentinus. Kisha kujiunga na Kanisa, alikatwa kichwa kwa hilo.
Yangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini[1]. Mjini Roma kuna basilika maarufu lililojengwa kwa heshima yake [2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.