Teresa wa Yesu Jornet (Aitona, Lerida, 9 Januari 1843 - Liria, Valencia, 26 Agosti 1897) alikuwa bikira wa Kanisa Katoliki nchini Hispania ambaye alianzisha shirika lake lijulikanalo kama Dada Wadogo wa Wazee Waliotelekezwa kwa ajili ya kuhudumia watu wa namna hiyo [1].
Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Aprili 1958, halafu Papa Paulo VI akamtangaza mtakatifu tarehe 27 Januari 1974.
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.