Papa Pius XII

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Pius XII
Remove ads

Papa Pius XII (2 Machi 18769 Oktoba 1958) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Machi/12 Machi 1939 hadi kifo chake. Alitokea nchi ya Italia[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Thumb
Papa Pius XII (1958)

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Eugenio Maria Guiseppe Giovanni Pacelli.

Alimfuata Papa Pius XI na kuvishwa taji la Kipapa tarehe 12 Machi 1939. Akafuatwa na Papa Yohane XXIII.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads